Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mtoto wa tatu wa Hbaba ataitwa Bongo Flava

Kutoka kanda ya Ziwa Hbaba ameweka wazi kuwa mtoto wake wa tatu anbaye anatarajia kumpata hivi karibuni ataitwa Bongo Flava.

HBaba amesema hayo kupitia video fupi aliyoweka mtandaoni na kutaka asipangiwa majina ya Watoto zake.

Watoto wawili wa mwanzo wa msanii huyo ni Tanzanite na Afrika, ambao alizaa na msanii wa filamu Flora Mvungi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *