
Dexter Scott King ambaye ni mtoto wa mwisho wa Martin Luther King Jr na Coretta Scott King, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 62 baada ya kuugua saratani ya tezi dume.
Dexter amefariki Jumatatu nyumbani kwake California baada ya kupambana na saratani ya kibofu kwa muda mrefu.