Usiku wa juzi, muigizaji wa Tamthilia Zaiylissa alivalishwa pete ye uchumba na mwanamitandao Haji Manara
Shughuli hiyo iliudhuriwa na mastaa mbalimbali nchini akiwemo Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Kajal Masanja, Irene Uwoya na wengineo. Na miongoni mwa matukio ni mrembo huyo kuvaa magauni mawili tofauti ambayo yanatajwa kuwa na gharama na yametengenezwa na vitu vya thamani.