Msuva apata timu Saudi Arabia

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Simon Msuva anatarajia kujiunga kambini nchini Saudi Arabia baada ya kupata timu nchini humo iitwayo Al- Najmah FC.

Msuva ambaye ndio mfungaji wa bao la kwanza la Taifa Stars katika michuano ya AFCON 2023 anajiunga na timu hiyo inayocheza Ligi Daraja la Pili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *