MSIMAMO WA LIGI KUU YA TANZANIA BAADA YA MECHI YA SIMBA NA JKT TANZANIA HUU HAPA.

Baada ya kukamilika kwa mchezo kati ya Simba SC na JKT Tanzania FC kwa matokeo ya ushindi wa Simba Goli 1 na JKT Tanzania 0. Goli la Simba limepatikana kwa penalt iliyofungwa na Jean Ahoua kwenye kipindi cha nyongeza.

Kwa ushindi wa leo Simba anaendelea kuongoza msimamo wa Ligi kuu kwa kuwa na point 37, akifatiwa na Yanga yenye point 33, Azam FC yenye point 33 na Singida Big Stars yenye point 33 wakiwa na tofauti ya idadi ya mechi, magoli ya kufungwa na kufunga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *