Msanii Maarufu wa Nyimbo za Asili za Kabila la Wasukuma Bhuhulu Lusafisha / Buhulu Lusafija mkazi wa Ngaya Wilaya ya Kahama amefariki dunia.

Taarifa zinaeleza kuwa Msanii Bhuhulu Lusafisha amefariki dunia siku ya Jumapili Novemba 26,2023 wilayani Kahama baada ya kuugua muda mrefu