Taarifa kutoka nchini Nigeria muda huu zinaeleza kuwa Msanii wa filamu Mr, Ibu amefariki Dunia.
Muigizaji huyo alilazwa hospitali tangu mwishoni mwa mwaka 2023 na alifanyiwa operation ya kukatwa mguu ilikunusuru uhai wake.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz