Msanii aanguka katikati ya mahojiano

Usiku wa jana Machi 16, 024 mwanamitandao na msanii kutoka Kenya, Stevo Simple Boy alianguka akiwe kwenye kipindi cha TV cha “10 Over 10,” kinachoruka kupitia Citizen TV, hali iliyozua taharuki kwa watu wageni na watazamaji.

Simple Boy alijikuta akianguka wakati mtangazaji Azeezah Hashim, akiendeelea kumuuliza maswali. Hata hivyo chanzo cha msanii huyo kuanguka kinatajwa kuwa ni msongo wa mawazo hali iliyopelekea kukosa nguvu na pumzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *