Mrembo wa Botswana aingia Top 4

Hii ndio oradha ya warembo wanne ambao wameingia nafasi ya nne bora ya Mashindao ya 71 ya Miss World.

Warembo hao ni kutoka Botswana, Trinidad, Czech Republic na Lebanon.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *