Baada ya uchunguzi wa muda mrefu juu ya kifo chake hatimaye ripoti ya Mkaguzi wa Matibabu nchini Marekani imeweka wazi kuwa mrembo Jacky Oh (33) ambaye ni Mtangazaji wa MTV aliyefariki Mei 31 mwaka huu kutokana na upasuaji wa umbo lake maarufu kama (plastic surgery).
Mwakilishi wa Idara ya Polisi ya Miami ameweka wazi kwamba idara hiyo haitamtia hatiani daktari aliyemfanyia upasuaji na kuita bali ni “ajali kazini”
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz