Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mr Ibu afanyiwa upasuaji

Zikiwa zimepita wiki kadhaa tangu mwigizaji wa Nollywood, Mr Ibu kuomba msaada ili aweze kufanyiwa upasuaji, hatimaye muigizaji huyo wa vichekesho amefanyiwa upasuaji na amefanyiwa mara tano ilikunusuru asikatwe mguu

Taarifa ya kufanyiwa upasuaji huo ametoa katika ukurasa wa instagram, ambapo amebainisha kuwa bado anaendelea kuitazamaia hali yake kwa sasa na anasubiri apate nafuu ili aweze kwenda nje ya nchi kwa matibabu zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *