Mpunga wanaotoza kwa shoo moja ni noma

Mtandao wa Africa Fact Zone umeweka orodha ya wasanii 14 Barani Afrika wanoongoza kukusanya maokoto katika shoo/tamasha moja.

LONDON, ENGLAND – JUNE 03: Burna Boy performs at London Stadium on June 03, 2023 in London, England. (Photo by Burak Cingi/Redferns)

Nafasi ya tatu za juu zinachukuliwa na Wizkid, Burna Boy na Rema wao wanapokea kiasi cha Dola Milioni moja kwa kila mmoja sawa na Tsh/= 2,505,000,000.00.

4. Davido – $600,000 sawa na Tsh/= 1,503,000,000.00.

5. Asake na Olamide – $500,000 sawa na Tsh/=1,252,500,000.00

7. Black Coffee – $300,000 sawa na Tsh/= 751,500,000.00

8. Kizz Daniel – $200,000 sawa na Tsh/= 501,000,000.00

9. Amr Diab – $170,000 sawa na Tsh/=425,850,000.00

10. Shatta Wale – $120,000 sawa na Tsh/= 300,600,000.00

11. Diamond Platinumz na Tiwa Savage – $100,000 sawa na Tsh/= 250,500,000.00

13. Yemi Alade – $75,000  sawa na Tsh/=187,875,000.00

14. Flavour – $70,000 sawa na Tsh/= 175350000.00

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *