Mpiga Picha wa kituo cha habari cha @millardayo @ayotv_ Noel Mwingira (Zuchero) amefariki dunia, Alfajiri ya leo Aprili 26,2024 baada ya Kupata ajali ya Pikipiki eneo la Makonde Mbezi, Dar es salaam.

Jambo Media tunatoa Pole kwa Familia, Ndugu Jamaa, marafiki na tasnia ya habari kwa kipindi hiki kigumu.


