Moto wazuka na kuteketeza maduka Dar

Moto mkubwa umezuka usiku wa kuamkia leo, umeteketeza baadhi ya maduka katika eneo la Mwenge jijini Dar Es Salaam, hata hivyo chanzo cha Moto huo bado hakijafahamika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *