Mapema leo Muwakilishi na Msimamizi wa Tawi letu la Jambo Mkoa wa Morogoro, Francis Godfrey Mganga amemkabidhi mshindi wa Wiki ya Kwanza wa Challenge ya Jambo Sandwich Biscuit Moses Emmanuel Kabanga, zawadi yake ya boksi la Biscuits.


Moses alishiriki Challenge hii kupitia video fupi iliyopostiwa Kwenye ukurasa wetu wa Instagram.
Unaweza kushinda pia kwa kufollow page zetu za jambogroup na jambofmtz, Pia kwa kucomment kwenye post hii ukitag washkaji zako watano, Na kushare post hii kwenye insta story
Kuna boksi za Jambo Sandwich Biscuits zaidi ya mia moja kwa ajili yenu wateja wetu!! Anza sasa.!!


