Morocco na Congo kuchunguzwa

Shirikisho la soka barani Africa CAF limetoa tarifa ya kuanza uchunguzi kwa shirikisho la soka la Morocco [FMRF ]na shirikisho la soka Congo [FECOFA ].

Hii ni baada ya timu hizo kuanzisha vurugu baada ya mechi yao kumalizika kwa bao 1-1 hapo juzi .

Taarifa ya CAF inasema maamuzi na hatua za shirikisho zitawekwa wazi baada ya kukamilika kwa uchunguzi .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *