Kupitia Instastory ya rapa Roma, ambaye anaishi Marekani kwa sasa ameweka wazi ngoma ya ‘SHUU’ kutoka kwa #diamondplatnumz ft Chley ni miongoni mwa ngoma inayoongoza kupewa nafasi kwenye klabu za usiku huko Washington, D.C.\
Ngoma ya Shuu, imetoka miezi mitatu iliyopita na hadi sasa imekuwa miongoni mwa ngoma zinazipendwa na kutumika na watu maarufu ikiwemo klabu ya soko ya wanawake ya PSG kuitumia wiki kadhaa.