Mo Dewji awatuliza wana Simba ‘Msife Moyo’

Rais wa SimbaSC, Mohammed Dewji ameweka wazi kuwa leo amefanya kikao na viongozi wa Simba SC, ambapo amebainisha kuzijua changamoto zilizopo kwenye klabu hiyo.

“Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua. Kikao kimeenda vizuri. WanaSimba tusife moyo, tuendele kushirikiana.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *