Mkutano wa 14 wa Bunge la 12 umeanza leo, muswada sheria ya uchaguzi kujadiliwa

Mkutano wa 14 wa Bunge la 12 umeanza leo Januari 30, 2024, na utafanyika kwa muda wa wiki tatu.

Katika Mkutano Huo Miswada Mbalimbali Itajadiliwa Ambayo Ni Pamoja Na Muswada Wa Sheria Ya Uchaguzi Wa Rais, Wabunge Na Madiwani Wa Mwaka 2023 Na Muswada Wa Sheria Ya Tume Ya Uchaguzi Wa Mwaka 2023.

Mingine ni Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023 na Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa Mwaka 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *