MKUTANO KAMATI YA UTENDAJI CAF WAMFIKISHA ETO’O BONGO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Cameroon, Samuel Eto’o, amewasili nchini leo, Februari 12, 2026, kushiriki Mkutano wa Kamati ya Utendaji ya CAF utakaofanyika Februari 13, 2026 jijini Dar es Salaam.

Eto’o, ambaye ni Star wa Boli wa zamani Barani Ulaya na Afrika kiujumla ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Cameroon, Samuel Eto’o.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *