Mkeka mpya wa Mama, Mwanaidi DC- Mtwara

Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mwanahamisi Athumani Munkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara akichukua nafasi ya Hanafi Msabaha ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Pia amemteua Hassan Bakari Nyange kuwa Mkurugenzi (DED) wa Mtwara TC, kabla ya uteuzi huu, Nyange alikuwa DAS Wilaya ya Namtumbo na anachukua nafasi ya Kanali Emmanuel Mwaigobeko ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *