Mke wa kaka yake na Diamond Platnumz aongeza ukubwa wa mdomo

Mwanamitandao na mfanyabiashara kutoka Tanzania, Malaika amefanya upasuaji wa kuongeza.

Mrembo huyo ameshare video muonekano wa mdomo wake kwa sasa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.

Miezi kadhaaa mrembo huyo alifanya upasuaji wa kuongeza makalio.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *