
Mwili wa rapa Javonnta Murphy maarufu kama Sirtanky (32) umeokotwa karibu na fukwe za Malibu huku ukiwa umewekwa ndani ya pipa na hauna nguo yoyote.
Sirtanky ni ndugu wa Jaquan ambaye anahusishwa na mauaji ya rapa Pop Smoke mnamo 2020. Mpaka wakati huu polisi wa eneo hilo wanatafuta maelezo yakutosha ambayo yanaweza kuunganisha mauaji ya Javonnta na kifo cha Pop.