Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mitandao ya kijamii, Facebook na Instagram zasitisha huduma

Mitandao ya kijamii ya inayomilikiwa na kampuni ya META(Facebook na Instagram) zimepata hitilafu muda huu na watumiaji wake wanashindwa kuingia kuendelea na matumizi yao ya kila siku.

Mtandao wa WhatsApp ambao pia upo chini ya META wenyewe bado haujaleta shida na watu wanatumia.

Hata hivyo META bado hawajatoa taarifa yoyote mpaka muda huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *