Miss Tanzania ashiriki Wasrsaha ya Uwezeshaji na Uendelevu kwa Wanawake

Halima Kopwe Miss Tanzania ni miongoni mwa Washiriki wa Miss World, 2024 walioshiriki katika warsha ya Uwezeshaji na Uendelevu kwa Wanawake, iliyoandaliwa na AWWA – Chama cha Wake wa Jeshi la Ustawi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *