Miso Misondo amfikia Chris Brown

Staa wa muziki kutoka Nchini Marekani, Chris Brown ametumia Insta story yake kwa kuweka video fupi ya Miso Misondo na kuanzika “Nikicheza kukwepa vikwazo vya kuaribu furaha yangu 2024.”

Miso Misondo ni miongoniwa madj waliofanya vizuri mwishoni mwa mwaka 2023 na kikubwa zaidi ni aina yake ya uvaaji na kucheza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *