Siku ya jana Oktoba 31, Jarida la Forbes limetoa orodha ya watu 13 maarufu waliokufa ambao wanalipwa mtonyo mwingi zaidi ambapo MJ (Michael Jackson) anaongoza kwenye orodha hiyo.
Orodha kamili ;-
1. Michael Jackson- $ Mil 115 sawa na TZS Bilioni 288
2. Elvis Presley – $100 sawa na TZS Bilioni 250.5
3. Ray Manzarek – $45 sawa na TZS Bilioni 112.7
4. Dr. Seuss – $40 sawa na TZS Bilioni 100.2
5. Charles M. Schulz – $30 sawa na TZS Bilioni 75.2
6. Prince –$30 sawa na TZS Bilioni 75.2
7. Whitney Houston – $30 sawa na TZS Bilioni 75.2
8. John Lennon –$22 sawa na TZS Bilioni 55.1
9. Bob Marley –$16 sawa na TZS Bilioni 40.1
10. Bing Crosby – $14 sawa na TZS Bilioni 35.1
11. George Harrison –$14 sawa na TZS Bilioni 35.1
12. Arnold Palmer –$10 sawa na TZS Bilioni 25.1
13. Marilyn Monroe – –$10 sawa na TZS Bilioni 25.1.