Staa wa Filamu kutoka nchini Marekani Michael B Jordan alipata ajali ya gari, Usiku wa Jumamosi ya Desemba 2,2023 akiwa na gari lake aina ya Ferrari, na ajali hiyo ilitokea nje ya Studio ya Sunset Gower Studio mida ya saa 11 Alfajiri.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umebainisha kuwa staa huyo alikuwa ametumia kilevi.