Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Miaka 14 bila Michael Jackson

Dunia nzima ya muziki fresh leo inasherehekea maisha ya mtu ambaye alileta mabadiliko makubwa kwenye muziki.

Imepita miaka 14 sasa tangu Michael Joseph Jackson afariki, na muziki wake unaendelea kuonekana.

Michael Jackson alifariki tarehe 25 Juni 2009 huko Los Angeles, Calfornia akiwa na umri wa miaka 50.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *