Mfumo wa ATM wazinguwa, wateja wajichotea hela

Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inayomilikiwa na Serikali inaendelea kupambana kurejesha mabilioni fedha yaliyochotwa na wateja wake mwishoni mwa wiki, wengi wao wakiwa wanafunzi, baada ya kutokea kwa hitilafu katika mifumo yake.



Kiasi kilichochotwa kutokana na hitilafu iliyosababisha wateja wa benki hiyo kuwa na uwezo wa kutoa fedha bila kikomo kupitia ATM, ni zaidi ya Dola 40 milioni za Marekani (Sh102.08bilioni) zimechukuliwa.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *