Msanii wa Singeli Meja Kunta amefunguka alichoitiwa BASATA ni maudhui ya video ya wimbo wake ‘Shuu’ ambao matamshi yake yanalenga watu wazima lakini waliotumika ni watoto.Meja Kunta amekiri kuwa sio kitu kizuri.

P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz