Megan Thee Stallion akanusha kupigwa risasi na rafiki yake

Staa wa muziki Megan Thee Stallion, jana Desemba 13, aliamua kwenda Live Instagram na kuanika ukweli wote wa mambo ikiwemo kutengana na baadhi ya marafiki zake baada ya kuona hawamshauri mema.

Lakini pia amefunguka kupigwa risasi na Tory Lanez. Ambapo kwa mara nyingine tena amekanusha juu ya taarifa kuwa rafiki yake wa zamani Kelsey Harris anahusika kumpiga risasi.  

Pia mrembo huyo ametujuza kuwa ilimlazimu kuwaona wataalum wa Afya ya akili ili kuwa sawa, baada ya kugundua amekuwa mlevi na mtua ambaye hajupo sawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *