Rapa Megan Thee Stallion na lebo ya Roc Nation wanakabiliwa na kesi kutoka kwa Emilio Garcia, mpiga picha wa Megan ambaye anayedai kuwa boss wake huyo alimlazimisha kumtazama wakati akishiriki tendo la ngono ndani ya gari walipokuwa kwenye ziara nchini Hispania.
Inaelezwa kuwa mpiga picha huyo alishindwa kutoka kwenye gari hilo kwa kuwa lilikuwa linatembea na alikuwa katikati ya nchi ya kigeni.