Mdundo mpya wa Jambo FM, umezinduliwa rasmi siku ya Jana (Septemba6,2023) katika kipindi cha The Booster. Mdundo huo umetengenezwa kwa ngoma asili ya wasukuma na kufanyiwa maboresho na maproducer wa kizazi kipya Prez_beatz na Scardee7
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz