Mkongwe wa muziki nchini rAY c amewataka wasanii wa muziki Tanzania kupendana.
Ray C ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka video ya Tems na Ayra Starr wakiwa wanacheza muziki Pamoja.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz