Mayele kwa Mwamposa

Aliyekuwa nyota wa Yanga kwa misimu miwili, Mayele amemshukuru Mchungaji Apostle Mwamposa kwa maombi aliyokuwa akifanya juu yake.

Staa huyo ambaye anakipiga Pyramid FC kwa sasa amefunguka hayo kupitia Instagram yake kwa kuandika “Napenda kumshukuru Apostle Mwamposa kwa maombi yake juu yangu na familia yangu katika kipindi hiki chote nilichokuwepo hapa Tanzania. Hakika amekua mtu muhimu sana kwangu. Mungu azidi kumbariki Baba Mwamposa.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *