Mayele adaiwa kuomba kuondoka Pyramids

Taarifa zilipo kwa sasa katika mtandao wa Zoal Sports umebainisha kuwa Mshambuliaji wa Pyramids na timu ya taifa ya Congo, Fiston Mayele amewaomba viongozi wa Pyramids wavunje mkataba wake iliaweze kuachana na timu hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *