Mataifa yanayojali urembo zaidi Afrika

Utafiti uliofanywa na Sagaci Research umebaini kuwa wanawake nchini Nigeria, wanathamini sana muonekano wao wa nje.

Kwa mujibu wa utafiti huo 74% ya wanawake wa Nigeria wenye umri kati ya 18-25 wanatumia muda na pesa nyingi kuboresha mionekano yao na 59% waliojibu tafiti hiyo walisema kuwa ni utaratibu wa kila siku kutunza Ngozi zao kwani wanaamini ni muhimu kuonekana vizuri kwa watu.

Na hizi ndio nchi 10 Barani Afrika ambazo wanawake wanathamini na kuamini zaidi kwenye urembo.

1. Nigeria 074%
2. Uganda- 68%
3. Ghana 068%
4. Kenya 66%
5. Afrika Kusini 66%
6. Misri 64%
7. Angola 59%
8. Zambia -59%
9. Mozambique0 54%
10. Tanzania – 54%

Chanzo:Business Insider.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *