Mashabiki wa klabu ya @namungofc waliokuwa wakisafiri kutoka Ruangwa kuelekea Dar es salaam kuishangilia timu yao dhidi ya Yanga SC, wamepata ajali eneo la Miteja karibu na Somanga na kupelekea vifo vya watu wanne (4) na majeruhi kumi na sita (16).
Kwasasa majeruhi wote wamepelekwa katika kituo cha afya Tingi Wilaya ya Kilwa, Lindi.