Marufuku kuvaa Abaya na Nikabu Ufaransa

Mwaka 2004 serikali ya nchini Ufaransa walitoa katazo la kuvaa Abaya na nikabu kwa wanafunzi, ambapo kwa mara nyingine katazo hilo limerudi na wanafunzi wakike wa Kiislamu wanaosoma shule za Serikali hawatoruhusiwa kuvaa abaya na nikabu kuanzia Septemba 4, 2023 baada ya muhula mpya wa masomo wa nchi hiyo kuanza rasmi.

“Unapoingia darasani, hupaswi kuwa na uwezo wa kutambua dini ya wanafunzi kwa kuwatazama tu,Tumeamua kwamba abaya haiwezi kuvaliwa tena. Shuleni,” amesema Waziri wa Elimu Gabriel Attal kupitia TF1 TV ya Ufaransa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *