Marufuku kutumia TikTok

Wizara ya biashara ya Indonesia, imetoa katazo kwa wafanyabiashara nchini humo kufanya biashara kwenye mitandao ya Tik Tok na Facebook.

Katazo hilo limetolewa siku ya jana (Jumanne) na Wizara husika na pia imesema itazuai kampuni za mitandao ya kijamii kuongezeka ikiwemi jukwaa la e-commerce ili kuzuia matumizi mabaya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *