Marioo ,Paula kufanya Baby Shower

Jioni ya leo staa wa muziki Marioo na Mpenzi wake Paula wanatarajia kufanya ‘Baby Shower’ kwaajili ya mtoto wao ajae.

Miongoni mwa watakaohudhuria ni Mama Mzazi wa Paula, Kajala Masanja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *