Marioo avunja ukimwa ‘Hakuna Matata’

Hivi karibuni staa wa muziki Marioo, alitangaza kutarajia kupata mtoto na mpezi wake Paula. Mkali huyo ameweka wazi pia kutaka kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Hakuna Matata’.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Marioo amewataka mashabiki zake kuchagua muda wanaotaka ngoma hiyo itoke (iende mjini).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *