Litakapokuja suala la Mirabaha tena, jua kabisa Marioo atakuwa ana mokoto yake kwa mchezaji wa Man City, jpcancelo ambaye ametumia wimbo wa Mi Amor kwenye post yake huko Instastory.
Ngoma hiyo ya Mi Amor ilitoka rasmi mwaka mmoja uliopita akiwa amemshirikisha mrembo kutoka 254, Jovial Na video ya wimbo huo inawatazamaji Milioni 26 katika mitandao wa YouTube.