Staa wa muziki Bongo, Marioo ameutumia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, kutangaza kujitoa kwa muda kwenye mtandao huo

Marioo ambaye anawafuasi Milioni 4.8 amebainisha kuwa ukurasa wake utakuwa unafanyiwa marekebisho “This page will be under construction for a short period of time’ – ameandika Marioo.

Ikumbukwe hivi karibuni msanii kuyo atataikiwa kupanda kizimbani Arusha kujibu kesi ya Madai wa Milioni 550 kwa kosa la kushindwa kutokea kutumbuiza kwenye shoo ya Mr and Mrs Vyuo vikuu Kanda ya Kaskazini.