Rapa AKA ambaye amefariki Febuari 10, mwaka huu kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana huko Durban,
ameshinda Tuzo ya BEST MALE SOUTH AFRICA.
Tuzo hizo zimefanyika Usiku wa jumapili, na Nadia Nakai (mpenzi wa marehemu rapa huyo) alikuwa mtangazaji.

P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz