MAPAMBO YAUWA WAWILI KWENYE TAMASHA LA MUZIKI

Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na kifaa cha mapambo kilichokuwa kimebebwa kwa kreni katika sherehe ya muziki ya Axe Ceremonia nchini Mexico.

Mamlaka ya wilaya ya Miguel Hidalgo, imesema waandaaji wa sherehe ya Axe Ceremonia walitumia kreni ambazo hazikukubaliwa wala kuidhinishwa na mamlaka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *