Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Mhe. Paul Makonda akisalimiana na baadhi ya Mawaziri mbalimbali wa Tanzania kwenye mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Kijiji cha Ngarash, Monduli Mkoani Arusha.



Mazishi hayo Lowassa yameongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.



