Makonda apokelewa Arusha kwa kishindo

Aliyekua Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa mpya wa Arusha, Paul Makonda tayari amepokelewa Jijini Arusha akitokea Airport ya Kisongo ambapo mapema leo hii anarajiwa kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, Ndg. John Mongella ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu CCM.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *