Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Majina ya wasanii wa Nigeria yaongoza kutajwa Tuzo za VMA

Waandaji wa tuzo za VMA (Video Music Awards), jana wametoa orodha ya wasanii wanaowania tuzo hizo kwa mwaka 2023, huku Nigeria ikiongoza kutajwa kwa wasanii wake upande wa Afrika.

Kipengele cha Best Afrobeats Song, ndio kimeshambuliwa vilivyo na Wanaigeria, hapa yupo Ayra Starr’- ‘Rush,’ Burna Boy’- ‘It’s Plenty,’ Davido’s – ‘Unavailable’ ft Musa Keys, Fireboy DML’- ‘Bandana’ ft Asake, Libianca’ – ‘People,’ Rema na Selena Gomez’ – ‘Calm Down,’ bila kushau Wizkid’ ft Ayra Starr -‘2 Sugar’.

Pia ngoma ya Calm Down kutoka kwa Rema imetajwa kama , Rema -Collaboration of the Year na Song of the Year.Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Septemba 13 kwenye Mji wa New Jersey-Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *